Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Simbachawene aivunja bodi ya masoko Kariakoo

Waziri wa Nchi Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa George Simbachawene ameivunja bodi ya Shirika la Masoko Kariakoo baada ya kushindwa  kutekeleza majukumu yake ya msingi.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyosainiwa na Msemaji wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Rebecca Kwandu ilisema kwamba  uamuzi huo ni baada ya uongozi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya msingi waliyopewa ya kumshauri Waziri wa Nchi Tamisemi juu ya uendeshaji wa Soko hilo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top