Loading...
Wanawake wenye ulemavu wapewa somo
JUMUIYA YA WANAWAKE SHIVYAWATA TAIFA YAANZA MIKUTANO YAKE KUWAPA FURSA WANAWAKE WENYE ULEMAVU KUA NA UTHUBUTU WA KUTUMIA TALANTA ZAO KUJIINGIZIA KIPATO
Mkutano wa pili sasa ambao una lengo la kuwakutanisha wanawake wenye ulemavu kujadiliana,kushauriana na kujifunza fursa mbalimbali lengo ni kuhakikisha kua wanawake wenye ulemavu hawaachwi nyuma
Tutasimama imara na tutaendelea kushikamana kuhakikisha wanawake wenye ulemavu nao wanashiriki fursa za kiuchumi na tunawajengea uwezo wa kujiamini kua wanawezaaaa
UMMY NDERIANANGA
MWENYEKITI SHIVYAWATA
MLEZI WA JUMUIYA YA WANAWAKE SHIVYAWATA
Post a Comment