Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amezuia bomoabomoa ya nyumba zaidi ya 300 zilizojengwa kwenye Bonde la Makamba Kata ya Tuangoma,Temeke, RC wa Dar Paul Makonda atangaza
Kwamujibu wa RC Makonda amedai Ofisi yake kutokuwa na taarifa hizo na kwamba agizo haliwezi kuwa na uhalali, ambapo ameongeza kuwa hata kama zoezi hilo lipo ni lazima yeye na wataalamu wake wajiridhishe hivyo basi zoezi hilo kwasasa amelisitisha.
Ametoa kauli hiyo leo mbele ta wakazi wa kata ya Kigogo, Wilaya ya Kinondoni Jijini humo.
Post a Comment