
Waombaji kazi walioitwa kwenye usaili wa mchujo (Oral Interview) utakaofanyika tarehe 23 Agosti, 2017 katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) wanatangaziwa kuwa, usaili huo umepangwa kufanyika katika awamu mbili kwa mpangilio ufuatao;
AWAMU YA KWANZA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI
ICT OFFICER II - SYSTEMS ADMINISTRATOR
ICT OFFICER II – MOBILE APPLICATION DEVELOPER
ICT OFFICER II - NETWORK ENGINEER
ICT OFFICER II - APPLICATION PROGRAMMER
AWAMU YA PILI: SAA TATU KAMILI ASUBUHI
ICT OFFICER II - BUSINESS ANALYST
ICT OFFICER II - DATA BASE ADMINISTRATOR
ICT OFFICER II - WEB APPLICATIONS DEVELOPER
Post a Comment