Baada ya ukimya wa muda mrefu juu ya kupotea kwa Mkuu wa Idara ya Sera na Utafiti wa Chadema, , Bw. Ben Saanane ambae hajulikani alipo mpaka sasa hali ambayo inaendelea kuleta sintofahamu kwa raia nchini hususani kwa WanaCHADEMA na Jeshi la Polisi.
Akijibu swali hilo IGP Sirro aliloulizwa na mtangazaji Sam Mahela katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na Kituo cha ITV, IGP Sirro amefunguka mambo yote katika Video hapo chini
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
Post a Comment