Leo Agosti 28, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 26/8/2017 limetoa taarifa nyingine ya awali ya tukio la mlipuko uliotokea katika ofisi za mawakili wa IMMA zilizopo katika eneo la Upanga jijini Dar Es Salaam.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
Chanzo: M Blog
Post a Comment