Arusha. Mtoto Ikram Salim (3) aliyetekwa na kukutwa ametupwa kwenye shimo la maji taka eneo la Mji Mpya mtaa wa Olkrian Kata ya Olasiti amezikwa katika makaburi ya msikiti wa Olasiti.
Mtoto mwingine aliyekutwa na umauti akiwa mikononi mwa watekaji ni Moureen Daudi amezikwa leo katika makaburi ya kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Olasiti
Wananchi wameomba mtandao huo uvunjwe haraka ili watoto waishi kwa amani kama ilivyokuwa awali
"Tuna hofu hatuwezi kwenda na watoto kila tunapoenda, tumechanganyikiwa hatujui la kufanya tunamwomba Mungu atusaidie na serikali yetu ihakikishe hakuna matukio ya aina hii tena,"amesema mmoja wa wananchi hao
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
Jioni13 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment