Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CCM yaisafisha Chadema Arusha .... Yakomba wanachama wa Chadema



Mapokezi ya wanachama Wapya zaidi ya 860 kutoka Chadema walio amua kwa hiyari yao wenyewe kujiunga na CCM wakipokelewa Rasmi ndani ya ukumbi wa CCM Mkoa wa Arusha.

CCM Mpya.

CHADEMA YAFUTIKA RASMI ARUSHA, ZAIDI YA WANACHAMA 860 WA CHADEMA WAHAMIA CCM LEO TAREHE  02/09/2017.

Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.

Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.

Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesma kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.

Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.

Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,

Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)

Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)

Das wa arusha (David Mwakiposa)

Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)

Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha

By Felician Mtahengerwa
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top