IGP Sirro: Silaha nzito kama SMG huwa zinatumika ktk matukio
mengi ya kihalifu, si kwa Lissu tu >Huingia hata toka nchi jirani
IGP Simon Sirro: Jeshi la Polisi linachunguza matukio yote ya
uhalifu nchini ikiwemo kupigwa risasi kwa Tundu Lissu
IGP Sirro: Lissu alitishiwa maisha lakini je alikuja Polisi
kuripoti? - Ni vema Mheshimiwa mwenyewe akipona aulizwe swali hilo
IGP Simon Sirro amesema waliotajwa kwenye ripoti ya uchunguzi
wa Tanzanite na Almasi wajisalimishe wenyewe, wasisubiri hadi wakamatwe
Maelezo kwa msaada wa Twitter ya Jamii Forum
Post a Comment