Siku kadhaa baada ya Chidi Benz azua jipya mjini, adai 2Pac yuko hai na anaishi nchini Cuba, na wanaongea kila siku na tayari ameshafanya naye ngoma itakayotoka hivi karibuni. basi leo mitandaoni Imesmabaa Picha ikimuonyesha Chid benz akiwa na Marehemu Tupac.
RUZUKU YA NISHATI SAFI KUWANUFAISHA WANANCHI
1 hour ago
Post a Comment