#Habari:Serikali imechukua nusu ya eneo la ardhi ya Pori Tengefu la Bonde la Kilombero katika umiliki wake na kuligawa kwa wananchi kupitia serikali za vijiji ili kutoa fursa kwa wananchi wa wilaya za Kilombero na Malinyi mkoani Morogoro kutumia ardhi hiyo kwa shughuli za kilimo, ufugaji na makazi.
on Saturday, September 2, 2017
Post a Comment