Loading...
Spika Ndugai aeleze risasi alizopigwa Tundu Lissu
Akiongea wakati akifungua Bunge asubuhi hii, Spika wa Bunge Job Ndugai amesema haya; Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Tundu Lissu alifyatuliwa risasi kati ya 28-32. Risasi 1 ilimpata mkononi, 2 tumboni na 2 mguuni. Spika amesema familia ya Lissu ndiyo iliyochagua ndugu yao kwenda kutibiwa Nairobi nchini Kenya lakini Bunge lilikuwa limejiandaa kumpeleka Muhimbili.
Post a Comment