Picha mbili zikimuonesha Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe akiwa kwenye Ofisi za Bunge kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mbunge wa Newala Ndugu George Mkuchika.
Tutaendelea kuwajuza kinachojili.
Alipokuwa akielekea mbele ya kamati kwa mahajiano hayo.
Loading...
Post a Comment