Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Lema, Nassari watinga TAKUKURU


Wabunge wa Chadema Joshua Nassari wa Arumeru Masha riki na Godbless Lema wa Arusha Mjini wamewasili mchana huu katika Makao makuu ya ofisi ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Jijini Dar es Salaam kukabidhi kile wanachokiita ushahidi unao onesha Jinsi madiwani wa CHADEMA katika baadhi ya kata mkoani Arusha walivyorubuniwa kwa Fedha   hadi kujizuru nyadhifa zao.

Wabunge hao pia wamesindikizwa na Mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa.


ANGALIA VIDEO HII..

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top