Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NDOA YA MENEJA WA GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO YATIKISA DAR (VIDEO)

Meneja Abdallah Mrisho na mkewe, Catherine Mdamu wakiwa katika pozi la furaha, muda mfupi baada ya kufungwa kwa ndoa yao. Meneja Mrisho na mkewe, wakiwa na wanafamilia (walioshika magazeti), wakifurahi kwa pamoja baada ya kufungwa kwa ndoa yao. Bibi Harusi, Catherine (katikati) akiwa na wanafamilia (wenye nguo nyeupe) na wafanyakazi wenzake, Women With Voices (WWV) wenye nguo za bluu. Daaab! Maharusi na wanafamilia wakiwa katika pozi maarufu kwa jina la dab! Maharusi wakiwa na wapambe wao, Said Mdoe na mkewe Wakifurahia jambo baada ya kufungwa kwa ndoa yao.[/caption] Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, jana (Jumamosi, Sept. 30,2017) alifunga ndoa ya kifahari na Catherine Mdamu, iliyolifanya Jiji la Dar es Salaam lisimame kwa muda, ikifuatiwa na sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City. Katika sherehe hiyo, wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers wakiongozwa na mkurugenzi wao, Eric Shigongo, jamaa na marafiki, walijumuika kula, kunywa mpaka kusaza na kucheza muziki mzuri, mpaka usiku sana huku kukiwa na 'special appearance' ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.

Harusi ya Abdallah na Catherine, Mlimani City - Part 1

Harusi ya Meneja Abdallah na Catherine, Mlimani City - Part 2

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top