Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, leo October 7 amefanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri na kuongeza wizara mbili, hivyo kufikia wizara 21 kutoka 19 ambazo zilikuwepo.
Tukio hilo limetokea leo ambapo Rais Magufuli pia amezigawa Wizara ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi na kuwa wizara ya Kilimo pekee na Wizara ya Mifugo na Uvuvi peke yake, pamoja na Wizara ya Nishati na Madini kuwa wizara mbili tofauti.
Sambaba na hilo pia Rais Magufuli amemteua Mh. George Haruna Mkuchika kuwa Waziri Ofisi ya Rais Utawala Bora, ambaye kabla alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Mawaziri hao wanatarajiwa kuapishwa siku ya jumatatu Oktoba 9, 2017, Ikulu jijini Dar es salaam.
Kwa ufupi.
Mahiga, Mwakyembe, Kabudi, wamendelea na wizara zao.
Hussein Bashe: TAMISEMI
Katibu wa Bunge: Aondolewa na kuwekwa mpya
Medadi Kalemani: Wizara ya Madini (imegawanywa kwa sasa)
Angela Kairuki: Waziri wa Nishati na Madini.
Taarifa; Rais Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya Baraza Mawaziri, ambapo ameongeza wizara mpya mbili na kufikisha jumla ya wizara 21. Mawaziri 2 na manaibu 5 pia wameongezwa, wapya wakiwa ni pamoja na Mhe Mohamed Ulega, Mhe Kangi Lugola, Mhe Faustine Ndugulile, Mhe Mary Mwanjelwa Juliana Shonza nk.
Rais Magufuli amemteua Steven Kagaigai kuwa Katibu wa Bunge na Thomas Kashililah atapangiwa kazi nyingine
"Wizara ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi tumeigawa na kuwa Wizara 2 za Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na Uvuvi"-Rais @MagufuliJP
MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI
Mawaziri 21zimeongezeka 2
Manaibu 21 zimeongezeka 5
Utumishi - mkuchika
Nishati - kalemani - mgalo
Madini - mfuruki - nyongo
Ujenzi - mbarawa - nditie na kwandikwa
Fedha - mpango - kijaji
Katiba - kabudi
Habari - mwakyembe - shonza
Ndani - nchemba - masauni
Maliasili - kigwangala - kasunda
Ardhi - lukuvi - mabula
Kilimo - tizeba - mwanjelwa
Mifugo/uvuvi - mpina - urega
Nje - mahiga - kolimba
Ulinzi - mwinyi
Maji - kamwele - awoshio
Viwanda/biashara - mwijage - manyanya
Elimu - ndalichako - olenasha
Afya - mwalimu - faustine
Tamisemi - jafo - sekamba na kakunda
MaZingira - makamba - lugola
Vijana - mwamgama - mavunde na kipupa
Katibu bunge - kagaigai
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
VOA Express1 hour ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment