Loading...
Secretariet UVCCM wakutana .... Wajadili mambo mazito
*Mkoa wa Dar Es Saalam 12/10/2017*
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiongoza kikao cha Secretariet ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa.
Kikao hiki ni maandalizi ya vikao vya kikanuni vya Umoja wa Vijana wa CCM.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa mapema wiki hii vikao hivyo vitafanyika kwa utaratibu ufuatao:
15-16/11/2017 Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa.
17/11/2017 Baraza Kuu la UVCCM Taifa
Vikao hivyo vitafanyika Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine vitajadili waombaji wa nafasi mbali mbali za uongozi kwa nafasi za Mkoa na Taifa kupitia Umoja wa Vijana wa CCM kabla kuwasilisha wa vikao vya Chama Cha Mapinduzi kwa uteuzi wa mwisho.
Post a Comment