Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UVCCM waanza vikao vizito mjini Dodoma







*UMOJA WA VIJANA WA CCM*

*TAARIFA*
——————————————

Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa imeanza kikao leo Jumapili 15/10/2017 katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Mhe Sadifa Juma Khamis (MCC/MB)

Kikao hiki ni cha kawaida cha kikanuni ambacho pamoja na mambo mengine kitapitia na kufanya mapendekezo ya wagombea nafasi mbali mbali kwa  ngazi Taifa na Mikoa.

Kikao hiki cha siku mbili ni maandalizi  ya kikao cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa kitakachofanyika  Jumanne 17/10/2017 mjini Dodoma, vilitanguliwa na kikao cha Secretariat ya Baraza kuu Taifa kilichofanyika juzi jijini Dar Es Salam.

Kauli yetu ni:  *Kulinga na Kujenga Ujamaa*



*Jokate U. Mwegelo*
*Kny: Katibu Mkuu*
*15/10/2017*
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top