NEWZ ALERT:Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa (mwenye Tai nyekundu) amefanya ziara ya kushitukiza katika Bandari ya Dar es salaam leo November 29, 2017 na kubaini Kampuni ya NAS ikitaka kutoa Semi Trela Arobaini na nne bila ya kufuata utaratibu.
on Wednesday, November 29, 2017
Post a Comment