Loading...
Spika Ndugai awataka wabunge kuwa na maadili
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewataka wabunge kuzingatia maadili na miiko ya uongozi wawapo ndani na nje ya bunge na kuwataka kutambua nafasi yao katika jamii hali itakayosaidia kutofumbia macho vitendo vya rushwa na ufisadi.
Job Ndugai amesema hayo leo mjini Dodoma wakati akizungumza na wabunge ambao ni wajumbe wa Chama cha wabunge wanaopambana na Rushwa APNAC, na kusema ili kukabiliana na vitendo vya rushwa na ufisadi ni vyema wabunge wakazingatia kanuni na maadili ya uongozi.
Post a Comment