Rais Magufuli alitangaza uamuzi huo wakati akihutubia maadhimisho ya sherehe ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika zilizofanyika mjini Dodoma.
Hata hivyo, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuonyesha kutokubaliana na uamuzi huo kwa madai kwamba anashaangaa kuachiwa watu waliohukumiwa kwa sheria ya nchi.
Posti hiyo ya zito ilizua mjadala mtandaoni kutokana na watu mbalimbali kumshukia kwa kuonyesha kukerwa na alichokiandika. Baadhi ya wasomaji walimsihi kuachana na jambo hilo kwani Rais ametimiza wajibu wake kisheria.
Post a Comment