Mama yake na Diamond Platnumz, Bi Sanura, amethibitisha kuwa ameolewa. Kwenye mahojiano na Dizzim Online ambayo alionesha pete yake ya ndoa, Mama Dangote ameyapuuza maneno ya watu kuwa ameolewa na kijana mdogo.
“Ana udogo gani? Hana udogo yule, angekuwa mdogo asingeoa, mkubwa,” alisema. Alipoulizwa kama ana mpango wa kupata mtoto mwingine, mama huyo alisema, “Naseeb atapata mdogo wake siku yoyote, nyie hamtaki mdogo? Basi subirieni mdogo wenu wa mwisho.”
Loading...
Post a Comment