Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKUSANYO YA KODI YAZIDI KUONGEZEKA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya kiasi cha shilingi trilion 7.87 katika kipindi cha miezi sita ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia mwezi Julai 2017 hadi Desemba 2017. Ni sawa na ongezeko la 8.45% ikilinganishwa na kipindi kama hicho katika mwaka wa fedha 2016/17



Image may contain: text
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top