Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BALOZI WA CHINA AITEMBELEA MINARA YA ZNZ


Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (Kulia)akiwa pamoja na Balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman wakati balozi huyo alipofanya Ziara ya kutembelea minara ya kurushia matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC)

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (wamwanzo kushoto)akiwa katika Kikao cha Majumuisho na Balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman baada ya Ziara ya Kutembelea Minara ya Kurushia Matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC)huko Ofisni kwake Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar
. PICHA ZOTE NA MAKAME MSHENGA MAKAME-HABARI MAELEZO ZANZIBAR.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top