Katibu Mkuu Wizara ya
Uchukuzi, Eng. Omar A. Chambo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu Na. 6 (1)
(b) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002, amemteua Bibi Tumpe
Samwel Mwaijande kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira na Usalama wa Usafiri wa
Majini.
Uteuzi huu unaanza
tarehe 19/11/2012.
Imetolewa
na;
KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI
19/11/2012
Post a Comment