Muda
mfupi tu uliopita, mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva ameandika ujumbe
mkali unaoashiria kuwa anataka kujiua.

“Am
so Angry and Am so f****n Disappointed. Disappointed wit Everything that
surrounds me. So freakin tired!. Neither Or,” ameongeza.
Baadaye
ametweet meseji hii ambayo kila mtu ameshindwa kuelewa anamaanisha nini, “6283.
Thats the very secret number.”
Na
kisha, “Sijakula toka Juzi and have to catch my classes in 20mins mpaka usiku,
have to go to work. Someone needs to bring me food serious.”
Leo
si mara ya kwanza kwa mtangazaji huyo kutweet meseji za aina hiyo kwani Juzi
November 10 alitweet, “If i die today. Gonna miss my sisters so bad. They are my
life. My Everything. My Lito Bro Brian, u wil always b my Lito hero. Fam, few
friends. Will always lov u but thats how it is. No more to
say.”
Ametuacha
njia panda!!!
source:http://www.bongo5.com
Post a Comment