Mwenyekiti wa chama cha
Mapinduzi Taifa (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilitolea ufafanuzi jambo kwa
wajumbe mbalimbali waliofika katika siku ya pili ya mkutano mkuu wa CCM
unaoendelea hivi sasa katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Amani Abeid Karume
Mwenyekiti wa chama cha
Mapinduzi Taifa (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo katika siku
ya pili ya mkutano mkuu wa CCM unaoendelea hivi sasa katika ukumbi wa Kizota
mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Amani Abeid Karume
na Kulia ni Makamu Mwenyekiti Bara, Pius Msekwa.
Waziri Mkuu, Mizengo
Kayanza Peter Pinda akisoma taarifa ya serikali ya utekelezaji wa ilani ya
uchaguzi.
Wajumbe wa mkoa wa Iringa
wakifuatilia kwa ukaribu taarifa mbalimbali za utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi
iliyokuwa ikisomwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Baadhi ya wajumbe wa mkoa
wa Arusha wakiwa katika mkutano huo leo.
Baadhi ya wake wa Viongozi
na waasisi wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano
huo.
Wajumbe kutoka mkoa wa
Dodoma ambao ndio mkoa wenyeji wakifuatilia kwa umakini taarifa mbalimbali za
utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa
Chama cha Mapinduzi kutoka nchi za Ulaya (watanzania waishio nje ya nchi)
wakijilikana kama Wanadiaspora wakifuatilia mkutano huo leo mjini Dodoma. Kundi
hili limekuwa mstari wa mbele katika kuwaunganisha watanzania waliopo nje ya
nchi katika shughuli mbalimbali za maendeleo
nchini.
Baadhi ya wakuu wa Wilaya
mbalimbali nchini wakifuatilia mkutano huo wa nane wa chama cha Mapinduzi mjini
Dodoma.
Wajumbe kutoka Manyara
wakiwa mkutanoni.
Wakuu wa Wilaya wakiwa
mkutano.
Wajumbe kutoka Zanzibar nao
wapo.
Wakuu wa Mikoa mbali mbali
nao wapo mjini Dodoma katika mkutano wa nane wa
CCM.
Wajumbe wa mkoa wa
Kilimanjaro wakifuatilia hotuba mbalimbali za taarifa za utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya CCM.
Mke wa Rais mama Salma
Kikwete akiwa na wajumbe wenzake wa Mkoa wa Lindi.
Wajumbe wa Mkoa wa Iringa
wakifuatilia kwa ukaribu matukio ndani ya mkutano
huo.
Wajumbe mbalimbali kutoka
mkoa wa Pwani, wakiwa ndani ya ukumbi wa
mikutano.
Post a Comment