Kalambo Falls ambayo ni maporomoko
makubwa ya maji ya asili yanayochukua nafasi ya pili kwa ukubwa barani
Africa yakiwa na urefu wa mita 235 yanapatikana Mkoani Rukwa mpakani na nchi
jirani ya Zambia ni miongoni mwa vivutio vya asili nchini Tanzania vyenye hadhi
ya kupigiwa kura kuwa miongoni mwa maajabu saba ya asili nchini Tanzania na
barani Afrika kwa ujumla. Vivutio vya Tanzania vinavyoshindanishwa na vingine
tisa (9) barani Afrika katika nafasi ya maajabu saba barani Afrika ni
Mlima Kilimanjaro, Bonde la Ngorongoro na hifadhi ya Taifa ya
Serengeti. Pigia vivutio hivi vitatu na vingine vinne ikiwemo
Kalambo Falls kupata vivutio 7 vya maajabu ya asili nchini Tanzania na barani
Afrika.
MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATANO JANUARI 22, 2025
25 minutes ago
Post a Comment