Imam Kalimullah
Ibragimov aliuawa pamoja na babake na nduguye katika mji wa Derbent huko
Dagestan. Inaaminika kuwa huyo ni imamu wa nne kuuawa katika eneo hilo mwaka
huu.
Dagestan imeshuhudia
ongezeko la wapiganaji na waislamu wenye siasa kali wanaoshinikiza kuundwa kwa
taifa la kiislamu licha ya upinzani mkali kutoka kwa
serikali.



Post a Comment