 |
| Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jiwe la Hospitali ya Olturumeti ya Halmashauri
ya Wilaya ya Arusha.Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa
Mulongo |
 |
| Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika
Hospitali mpya aliyoifungua. |
 |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika Hospitali mpya
iliyoifungua ya Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.Kulia ni
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, Halifa Hidda. |
on Friday, November 2, 2012
Post a Comment