Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JACKSON MAKWETA AFARIKI DUNIA


Mbunge wa zamani wa Jimbo la Njombe Kaskazini na Waziri wa zamani wa Elimu na wizara nyingine mbalimbali katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jackson Makweta, amefariki dunia baada ya kuugua.


Taarifa zilizothibitishwa leo zimedai kuwa Makweta amefariki baada ya kuugua na kulazwa katika Hospitali ya Jeshi la Wananchi Lugalo ambako ndiko alikokuwa amelazwa.

Makweta alikuwa ni miongoni mwa watu wachache waliokuwa wakishikilia rekodi ya kudumu na cheo cha ubunge kwa muda mrefu nchini kwani aliingia madarakani mwaka 1975 na kung'olewa mwaka 2010 na Deo Sanga

Mungu aiweke pema roho ya marehemu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top