![]() |
| Nimefurahi sana kuungana tena na Fernando Torres...! Rafael Benitez akionyesha jezi yake katika klabu ya Chelsea baada ya kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari leo Novemba 22, 2012. |
![]() |
| Benitez akipelekwa kwenye uwanja wa mazoezi wa klabu yake mpya ya Chelsea leo. |
![]() |
| Benitez akitua Chelsea |
![]() |
| Sijui nitafikisha mechi 10? Anyway... hapa nimefuata mkwanja tu ...! hapa tayari keshatupia nguo za kazi na kuanza kazi ya kuifundisha Chelsea kwa mara ya kwanza leo Novemba 22, 2012. |
![]() |
| Nahodha John Terry wa Chelsea akielekea mazoezini na mkoko wake wa bei mbaya leo |
![]() |
| Fernando Torres wa Chelsea akielekea mazoezini leo Novemba 22, 2012. |
![]() |
| Hayaaa...! Anzeni kujifua sasa niwaone |
![]() |
| Benitez akitoa maelekezo muhimu kwa straika Fernando Torres na mwenzake wakati wa mazoezi yao leo Nov. 22, 2012. |
![]() |
| Sasa nitatisha tena kama nilivyokuwa Liverpool....! Torres akikokota mpira mbele ya kocha wake Rafael Benitez wakati wakiwa kwenye mazoezi yao leo Novemba 22, 2012. |
![]() |
| Hatukutaki...! Baadhi ya mashabiki wa Chelsea wakiandamana kupinga ujio wa kocha Rafael Benitez katika klabu yao leo Nov.22, 2012. |
![]() |
| Rafa nje...! Shabiki mmoja wa Chelsea akionyesha bango lake kupinga kuajriwa kwa Rafael Benitez |













Post a Comment