Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana jana alidhihirisha kuwa ni kipenzi mpenda watu wa aina zote,
alipoamua kusimamisha msafara wake na kwenda kumsalimia Joseph Nampela mwenye
ulemavu wa miguu, ambaye alikuwa pembeni mwa barabara, wakati msafara huo
ukiingia mjini Sumbawanga, alipokuwa katika ziara ya kikazi ya siku moja mkoani
Rukwa, jana. Pichani, Kinana akimsalimia mwananchi.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Kwa Undani9 hours ago
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo8 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-



Post a Comment