Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi
kwenye kitabu cha maomboleza alipofika kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga
mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata
kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane
wa marehemu baada ya akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu
Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na
waziri katika wizara mbalimbali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima
zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya
kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali. Hapa
ni nyumbani kwa marehemu Makweta Bunju.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima
zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya
kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Makamu wa Rais Dkt Ghalib Mohamed Bilali
akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta
ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara
mbalimbali
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akitoa heshima
zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya
kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Mke wa Rais Mama Salma akiwafariji wana familia
wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa
Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip
Mangula akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson
Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri
katika wizara mbalimbali
Post a Comment