Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana,akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo CCM Lumumba. |
Katibu wa Uchumi wa Fedha Mama Zakhia Meghji akipokelewa makao Makuu wa Chama, Ofisi Ndogo Lumumba. |
Dk.Asha Rose Migiro,Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa akipokelewa kwa furaha. CCM Ofisi ndogo Lumumba. |
Post a Comment