Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Cheti cha
Udaktari wa Public Health (Honoris
Causa), kufuatia Shahada aliyotunukiwa na
Chuo hicho mwaka 2010 kwa kutambua mchango wake katika kuendeleza Sekta ya Afya
nchini. Sherehe hiyo fupi ilifanyika leo Novermba 23, 2012 Ikulu jijini Dar es
salaam.
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu
na Waziri wa Ardhi Prof Anna Tibaijuka, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt
Hussein Mwinyi na viongozi wa Chuo cha
Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili baada ya kukabidhiwa Cheti cha Udaktari wa Public Health (Honoris Causa), kufuatia Shahada aliyotunukiwa na Chuo hicho mwaka
2010 kwa Kutambua mchango wa Rais Kikwete katika kuendeleza Sekta ya Afya
nchini leo Novermba 23, 2012 Ikulu jijini
Dar es salaam.
PICHA ZOTE NA IKULU







Post a Comment