Mdau mwingine Evance Mwalukasa almaalufu Dokta akiwa pembeni mwa bango linaloonyesha ni mahafali ya 38 ya chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) ndipo alipojinyakulia PostGraduate yake ya Uhasibu
Geofrey Stephen akimlisha keki swahiba wake na Kaka yake, Evance
Geofrey Stephen akiwa kwenye pozi la kisomi zaidi
Geofrey Stephen akiwa na wahitimu wenzake wa kozi hiyo wakiketi mara baada ya kupewa utukufu huo na Mgeni rasmi, Naibu waziri wa Fedha Janet Mbene
Geofrey na Evance wakishoo mapozi yao


Post a Comment