Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JUSTIN BIEBER ATAMBA KATIKA AMERICAN MUSIC AWARD 2012.

 


Justin Bieber akiwa anapiga show sikuya tuzo.

Msanii mwenye asili ya Canada usiku wa Jumapili alionekana kutawala show na tuzo American Music Awards, baada ya kunyaa tuzo tatu na kuwamwaga Rihanna, Drake, Maroon 5 na Katy Perry.

Mama yake Bieber alishindwa kujizuia na kupanda jukwaani kukusanya tuzo za mwanae wakati Bieber akipewa tuzo, Bieber alisema maneno haya huku akimuangalia mama yake...
"I wanted to thank you for always believing in me," Bieber said, looking to his mom" tuzo mojawapo ikiwa ni ya "Msanii bora wa mwaka, Album bora yaa pop na tuzo ya mwisho kutunukiwa ni ya heshima ya mwaka 2010.

Mtangazaji wa tuzo hizo "Jenny McCarthy" akionekana kumbusu Justin Bieber baada ya kukubari tuzo ya Album bora ya pop/rock - ya "Believe". Na baada ya kumbusu alinong'ona ....najua nimekiuka sheria na kukubusu.

Bieber aliwaambia mashabiki wake kuwa "hard growing up with everyone watching me" anamaanisha "nivigumu kukuwa ukiwa unatazamwa na watu" aliwaomba pia mashabiki wake waendelee kumwamini.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top