Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KILA KONA YA NCHI, MAFUTA NI TATIZO BAADA YA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KUFICHA MAFUTA YAO

JIJINI MBEYA.. HALI NI TETE .. DALA DALA NI 1000 KITUO HADI KITUO

Foleni ya kutosha kuelekea kufuata mafuta
Boda nazo zinangoja mafuta hapa
Magari yakiwa yameongozana foleni kwa ajili ya kutaka mafuta
Barabara nyeupe watu wamepaki magari Majumbani kahuna mafuta
Daladala nazo shida , hizi ni baadhi ukipanda tuu kila kituo utalipia 1000

Hii Gari ya kwanza mwisho ni ya Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu nae yupo kwa foleni

Hali ya Upatikanaji Wa Mafuta Songea Ni Tete

Msululu wa pikipiki kwa hapa songea ni maarufu kwa jina la Yebo, zikiwa kwenye foleni za kufata nishati ya mafuta

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top