Nape
akimpa pole Zaina Mkieli Mama wa Hussein Ramadhani, Sharo Milionea, Kijiji cha
Lusanga, Muheza Tanga
Baadhi ya
wasanii msibani, Lusanga
DC Muheza,
Subra Mgalu akisoma salam za EOTF ya Mama Mkapa
Baadhi ya
wasanii msibani, Lusanga
Nape
(Watatu kulia, waliobeba jeneza) akishiriki kubeba jeneza lilipofika Lusanga,
nyumbani kwa marehemu
Nape
akitoa pole za Chama kwenye mazishi hayo
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mazishi ya Sharomilionea katika Kijiji cha Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012. |
Nape
akitupa udogo kaburini wakati wa mazishi ya Sharo Milionea, Lusanga,
Tanga
Waombolezaji wakaimsaidia mwenzao aliyepoteza fahamu
msibani
Mwili wa
SharoMilionea ukiswaliwa
Mzee Kingi
Majuto akitupa mchanga kaburini kumzika Sharo Milionea
Nape, Rais
wa Bongo Movies Simon Mwakifwamba, Meneja mahusiano wa kamuni ya Airtel,Jackosom
Mbando wakisubiri mwili wa marehemu kuwasili nyumbani Lusango,
Muheza.
Msanii wa
muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA akitoa
salam kwa niaba ya Wanamuziki wa Bongofleva.
Kutokana na
Umati wa Watu kuwa mkubwa wengine ilibidi wapande juu ya minazi ili kushuhudia
safari ya mwisho ya Ndugu yetu Sharo milionea.
............. Kwa picha na habari zaidi ya kilichojili msibani na wakati wa mazishi ya msanii Sharo Milionea, endelea kuperuzi NDGSHILATU Blog kwa taarifa zaidi ..................
Post a Comment