Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa Korea nchini Tanzania, IL Chung, wakati alipofika
ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea
zawadi kutoka kwa Balozi wa Korea nchini Tanzania, IL Chung, mara baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo.




Post a Comment