
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed shein, na Mkewe Mama Mwanamwema
Shein,wakipokea mashada ya mauwa kama ni Ishara ya ukaribisho katika Ikulu ya
Vietnam,alipofika kwa mazungumzo na Makamo wa Rais wa Vietnam Bibi, Nguyen Thi
Doan,akiwa na ujumbe wake katika ziara rasmi ya Kiserikali nchini humo ya wiki
moja.

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed shein, akiwatambulisha Viongozi
aliofuatana nao kwa Makamo wa Rais wa Vietnam Bibi,Nguyen Thi Doan,walipowasili
Ikulu ya nchi hiyo kwa mazungumzo,ya kuimarisha uhusiano na Ushirikiano baina ya
pande zote, akiwa katika ziara rasmi ya wiki moja nchini
humo.

Mke wa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwamamwema Shein,
akisalimiana na Makamo wa Rais wa Vietnam Bibi, Nguyen Thi Doan,alipowasili
Ikulu nchini Vietnam,alipofuatana na Rais wa Zanzibar katika ziara Rasmi ya
Kiserikali Nchini Vietnam ya wiki moja

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed shein, akisalimiana na Mawaziri
na Viongozi mbali mbali wa Nchini Vietnam ,alipofika ikulu ya nchi hiyo kwa
mazungumzo na Makamo wa Rais Vietnam Bibi, Nguyen Thi Doan, akiwa katika ziara
rasmi ya Kiserikali nchini humo ya wiki moja

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed shein, akisalimiana na Makamo
wa Rais Vietnam Bibi, Nguyen Thi Doan,alipowasili Ikulu nchini Vietnam,akiwa na
ujumbe wake katika ziara rasmi ya Kiserikali nchini humo ya wiki
moja

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed shein,(katikati) akiwa ujumbe
aliofuatana nao katika Mkutano maalum na Uongozi wa Serikali ya
Vietnam,ukiongozwa na Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Bibi Nguyen Thi Doan,(hawapo
pichani) katika ukumbi wa Ikulu ,katika kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano baina
ya pande mbili hizo,katika ziara rasmi ya Kiserikali.

Viongozi wa Serikali
waliofuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa
kwenye mkutano maalum na uongozi wa serikali ya Vietnam.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekitri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiteta jambo na
mwenyeji wake Kiongozi Mkuu katika Ofisi ya Rais Ikulu Nchini Vietnam,Bw Giang
Son,wakiwa katika ukumbi wa Mapunziko VIP katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Hanoi Nchini Vietnam,akiwa na ujumbe wake katika ziara rasmi ya
Kiserikali
Mama Mwanamwema
Shein,(kulia) Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali
Suleiman,(atikati) na Balozi wa Tanzania Nchini China,pia akiwa anafanya kazi
zake nchini Vietnam, Philip Sang'Ka Marmo,wakiwa katika Chumba cha Mapumziko
VIP katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hanoi Nchini Vietnam,wakiwa ni
miongoni mwa Ujumbe wa Rais wa Zanzibar Nchini Vietnam
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Maofisa wa Serikali ya Vietnam, alipowasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Hanoi Nchini Vietnam, akiwa katika ziara rasmi ya
Kiserikali
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekitri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati) akifuatana na mwenyeji wake Kiongozi Mkuu katika Ofisi ya Rais
Ikulu Nchini Vietnam, Bw Giang Son,(wa pili kushoto) baada ya mapokezi rasmi
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hanoi Nchini Vietnam,akiwa na ujumbe wake
katika ziara rasmi ya Kiserikali,(kushoto) Balozi wa Tanzania Nchini China,pia
akiwakilisha nchini Vietnam Philip Sang'ka Marmo.Picha Zote na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar


Post a Comment