Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifungua Kikao Kazi cha
tisa cha Wadau wa Sekta ya Utamaduni nchini (hawapo Pichani).Kikao hicho
kilifanyika Jijini Dar es Salaam hivi karibuni na kauli mbiu ilikuwa ni
Urasimishaji wa tasnia za Filamu na Muziki uwe Chachu ya
Maendeleo
Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiteta jambo na Katibu
Mkuu Bw. Sethi Kamuhanda wakati wa Kikao cha tisa cha wadau wa Sekta ya
Utamaduni kilichofanyika hivi karibuni jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimpongeza Mghani Mashairi
Bwana Mohamed Lukemo wakati wa ufunguzi wa Kikao kazi cha tisa cha Sekta ya
Utamaduni kilichofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaa.


Post a Comment