![]() |
| Astaghafirullahi.... hii sasa noma. Uchezaji huu wa mnenguaji mmojawapo wa akina 'Kanga Moko' nd'o uliomchefua mbunge hadi akalalamika bungeni leo. |
![]() |
| Mmmhhh... uchezaji gani huu jamani? Ndo mambo ya akina 'Khanga Moko Laki Si Pesa, Milioni Moja Paketi Money' |
| Tobaaa....! Namna hii tutasalimika kweli? Huyu naye ni memba wa walewale akina 'Kitu T' na 'Kanga Moko' |
![]() |
| Uuuuwwwiiiii.....mwenzenu nafwa na kiuno hiki... haki ya nani siangalii tena! |
![]() |
| Mtazame na huyu... nd'o walewale. Tatizo ni hiyo khanga yenyewe moja, ambayo unaambiwa imeloweshwa kidogo na kuwa ndembendembe! Kwanini wabunge wasihofie upotofu wa maadili? |
![]() |
| Ohooo....! Hawa nao wamevaa vizuri katikati ya mwili, lakini chini ni khanga moja ndembendembe na bado wanajibinua kihasara hasara. Ni balaaa tupu! |
| Apo chachaaaa....! Huu wote ni uchokozi wa akina Khanga Moko |
| Mama weeee.....! Hii si mitego jamani? |







Post a Comment