Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAFUNGUA JENGO LA OFISI ZA JUMUIYA HIYO JIJINI ARUSHA

 

Rais Jakaya Kiwete, Rais wa Kenya, Mwai Kibaki (wapili kulia) na Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza wakivuta kamba kuashiria ufunguzi wajengo jipya la makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki mjini Arusha Novemba 28,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro,baada ya sherehe za uzinduzi wa jengo la O(fisi kuu za Jumuiya ya Afrika Mashariki mjini Arusha Novemba 28, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Prince Karim Aga Kahan katika sherehe za uzinduzi wa jengo la Ofisi Kuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Mjini Arusha Novemba 28,2012. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top