Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri Fenella aelezea jinsi alivyopokea msiba wa wasanii watatu


 
Kutokana na majonzi yaliyotanda ndani ya mwezi huu wa Novemba baada ya Tanzania kupoteza wasanii watatu wa tasnia za Filamu na Muziki Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt Fenella Mukangara ameeleze kupokea kwa maskitiko makubwa msiba wa wasanii watatu mfululizo
“Serikali imepokea kwa mshutoka vifo vya wasanii John maganga,Khali Mohamed na Hussein Mkiete vifo vya wasanii hawa vimefatana na vimekuwa vya ghafla sana, wasanii wote ndo kwanza walianza kungara katika tasnia za filamu na muziki hususani wa bongo fleva na wote ni mashahidi katika hilo’’
Waziri amesema hilo ni pigo kubwa kwa taifa kwa kipindi hiki ambacho Serikali ina pigania haki za wasanii kwa nguvu zote
Serikari inatoa pole kwa ndugu wa marehemu, Wasanii wa muziki na Filamu na Inaungana na taifa zima katika kipindi hiki kigumu.
Pia ni matumaini ya Waziri na watanzania wote kwamba Wasanii wa tasnia hizi wataendeleza yote mazuri yalianzishwa na kufanywa na ndugu zetu waliotangulia
Kwa pamoja tuungane kumuomba Mungu azilaze roho za marehemu Khalid Mohamed, John Maganga na Hussein mahari pema peponi , Amen.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top