Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Gregory Teu Singida mjini Katika Picha.


Naibu waziri wizara ya biashara na viwanda Gregory Teu (wa pili kulia) akiongozwa na Meneja SIDO mkoa wa Singida Shoma Kibende (wa pili kushoto) kutembelea kiwanda cha kilimo kwanza cha kukamua alizeti cha mjini Singida.Kwa kwanza kushoto ni msaidizi wa naibu waziri,ndugu Nkungu na kwa kwanza kulia ni afisa wa SIDO mkoa wa Singida ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja.

Naibu waziri wizara ya biashara na viwanda Gregory Teu (wa kwanza kulia) akikabidhiwa zawadi ya mafuta ya alizeti na meneja wa kiwanda cha Kilimo kwanza cha kukamua mafuta mjini Singida, Khalidi Ally Omari.
Naibu waziri wizara ya biashara na viwanda,Gregory Teu akisoma maelezo yaliyopo kwenye vifungashio vya mafuta ya Alizeti yanayozalishwa na kiwanda cha kilimo kwanza cha mjini Singida.
Baadhi ya bidhaa zinazozalishwa na kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti cha kilimo kwanza cha mjini Singida.
Jengo la kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti cha Kilimo kwanza.
Naibu waziri wizara ya biashara na viwanda Gregory Teu (wa nne kutoka kulia) akitembezwa kwenye kiwanda cha Mount Meru cha mjini Singida na meneja wa kiwanda hicho,Sanjay Sumariya (wa tatu kulia).
Sehemu ya kiwanda cha Mount Meru cha mjini Singida kinachosindika mafuta ya Alizeti.(Picha na Nathaniel Limu).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top