Hayati
Aidan Libenanga
Mtoto
wa kwanza wa kiume wa Hassan Libenanga ( kulia) akifarijiwa na kijana mkazi wa
Sabasaba
Ramadhan
Libenanga (kushoto) mtoto wa marehemu akizungumza na Meya wa Manispaa ya
Morogoro, Mstahiki Amiri Nondo, nyumbani kwa
marehemu
Baadhi
ya waandishi wa habari wakiwa nyumbani kwa marehemu Aidan Libenanga , eneo la
Sabasaba, Mjini Morogoro, akiwasiliana na jamaa zao na kumsikiliza mwanae
Rama.
Akina mama wakimfariji
mtoto wakike
wa Marehemu Aidan Libenanga
---
WAANDISHI WA HABARI MKOA
WA MOROGORO NA TASNIA NZIMA YA HABARI NCHINI WAMEPATWA NA MSIBA MKUBWA KUFUATIA
KIFO CHA GWIJI WA HABARI NCHINI, MPIGANAJI AIDAN LIBENANGA, ALIYEFARIKI GHAFLA
SAA 12 : 15 ASUBUHI YA NOVEMBA 18, MWAKA
HUU.
KWA MUJIBU WA NDUGU NA
WATOTO WA MAREHEMU, MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA NOVEMBA 20, MWAKA HUU(
JUMANNE ) MJINI MOROGORO. MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU
MTAA WA SABASABA, MJINI MOROGORO.
MAREHEMU
ALIKUWA MMOJA WA WAANDISHI WA HABARI WAKONGWE ALIYEWAHI KULITUMIKIA SHIRIKA LA
HABARI TANZANIA ( SHIHATA) ENZI HIZO
Post a Comment