Habari na Mwandishi
wetu.
Watu wawili wanadaiwa wamefariki dunia na wengine watatu wamejeruhiwa baada ya kuigwa na watu wanadaiwa kuwa ni askari wa JWTZ.
Watu wawili wanadaiwa wamefariki dunia na wengine watatu wamejeruhiwa baada ya kuigwa na watu wanadaiwa kuwa ni askari wa JWTZ.
Akiongea na Mtandao huu kamanda wa polisi mkoa wa
Mbeya DIWANI ATHUMAN amesema katika vurugu hizo mmtu mmoja ndiye aliyeripotiwa
amefariki dunia hadi saa ambaye naye bado hajafahamika mara moja na kuongeza
kuwa wengine watatu wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Ifisi
Mbeya.
hata hivyo habari kutoka eneo la Tukio zinadai kuwa
Novembeer 17 majira ya saa tano za usiku ktk eneo la DDC mbalizi walinzi wakiwa
kwenye doria zao za maduka walimsimamisha askari mmoja wa JWTZ kisha kuanza
kumpiga hali iliyopelekea maumivu makali na kukimbilia kwenye kituo cha polisi
Mbalizi kwa ajili ya kutoa
taarifa.
Badaa ya kufika ktk kituo hicho alipewa huduma mara
moja ambapo askari hao waliondokana kwenda eneo la tukio na kuanza kufanya msako
wa watu waliohusika hata hivyo usiku hawakufankiwa kumkamata hata
mmoja.
siku inayofuata askari hao walifanikiwa kuwakamata
walinzi watano na kuanza uchunguzi mara moja ambapo siku hiyohiyo majira ya saa
tano za usiku askari wa JWTZ walivamia eneo hilo na kuanza kutembeza kipigo kwa
wananchi waliokuwa eneo hilo ambapo kutokana na vurumai hizo watu wawili
waliumia vibaya na wengine
kujeruhiwa.
aidha watu hao walipelekwa ktk hospital ya Ifisi
ambaopo majira ya saa 5 hiyo hiyo wawili kati ya hao waliokuwa wamepigwa
walifariki dunia.
Hata hivyo RPC DIWANI alisema kuwa uchunguzi
unaendelea kwa ushirikiano wa Polisi na JWTZ kuwapata waliohusika na tukio hilo
la uvunjifu wa sheria.
chanzo: sweethome
Post a Comment