Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ROBB VAN PERSIE AIPA TUMBO JOTO MAN U

MANCHESTER UNITED wako tumbo joto baada ya mshambuliaji wao tegemeo, Robin Van Persie kujiengua kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Holland kwa maumivu ya paja.
Mshambuliaji huyo alitarajiwa kuwemo kwenye kikosi cha Holland Jumatano ijayo katika mechi ya kirafiki dhidi ya Ujerumani.
Van Persie sasa yuko mashakani kuhusu uwezekano wake wa kuichezea Manchester United jumamosi dhidi ya Norwich.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top